Zaburi134

Wito wa kumsifu Mwenyezi Mungu

Wimbo wa kwenda juu.

1Msifuni Mwenyezi Mungu, ninyi nyote watumishi wa Mwenyezi Mungu,ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu.2Inueni mikono yenu katika patakatifuna kumsifu Mwenyezi Mungu.
3Naye Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia,awabariki kutoka Sayuni.