Zaburi117swh_onmm

Sifa za Mwenyezi Mungu

1Msifuni Mwenyezi Mungu, enyi mataifa yote;mtukuzeni yeye, enyi watu wote.2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,uaminifu wa Mwenyezi Mungu unadumu milele.Msifuni Mwenyezi Mungu.