Yuda1
Salamu
1Yuda, mtumwa wa Isa Al-Masihi, na nduguye Yakobo.Kwa wale walioitwa, waliopendwa katika Mungu Baba Mwenyezi na kuhifadhiwa salama ndani ya Isa Al-Masihi.2Rehema, amani na upendo ziwe kwenu kwa wingi.
Vitabu havikuweza kupakiwa. Angalia muunganisho wako na ujaribu tena.