Wakolosai1
Salamu
1Paulo, mtume wa Al-Masihi Isa, kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu.2Kwa ndugu watakatifu na waaminifu katika Al-Masihi wanaoishi Kolosai.Neema na amani zinazotoka kwa Mungu, Baba yetu, ziwe nanyi.
Vitabu havikuweza kupakiwa. Angalia muunganisho wako na ujaribu tena.