2 Timotheo1
Salamu
1Paulo mtume wa Al-Masihi Isa kwa mapenzi ya Mungu, kulingana na ile ahadi ya uzima ulio ndani ya Al-Masihi Isa.2Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa.Neema, rehema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba Mwenyezi, na kwa Al-Masihi Isa, Bwana wetu.