2 Samweli3swh_onmm
1Vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi vilidumu kwa muda mrefu. Daudi akaendelea kuwa imara zaidi na zaidi, wakati nyumba ya Sauli iliendelea kudhoofika zaidi na zaidi.2Wana walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni:
Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni mwana wa Ahinoamu wa Yezreeli;3mzaliwa wake wa pili alikuwa Danielimwana wa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli; wa tatu, Absalomu mwana wa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri;4wa nne, Adoniya mwana wa Hagithi; wa tano, Shefatia mwana wa Abitali;5wa sita, Ithreamu mwana wa Egla, mkewe Daudi.
Hawa ndio waliozaliwa kwa Daudi huko Hebroni.