2 Petro1
Salamu
1Simoni Petro, mtumishi na mtume wa Isa Al-Masihi.Kwa wale ambao kupitia kwa haki ya Mungu na Mwokozi wetu Isa Al-Masihi mmepokea imani iliyo na thamani kama yetu.2Neema na amani ziwe kwenu kwa wingi katika kumjua Mungu na Isa Bwana wetu.