2 Wakorintho6
1Kama watendakazi pamoja na Mungu, tunawasihi msipokee neema ya Mungu bure.2Kwa maana asema:“Wakati wangu uliokubalika nilikusikia,siku ya wokovu nilikusaidia.”Tazama, wakati uliokubalika ndio huu, siku ya wokovu ndiyo hii.
Vitabu havikuweza kupakiwa. Angalia muunganisho wako na ujaribu tena.