2 Wakorintho1
Salamu
1Barua hii ni kutoka kwangu mimi Paulo, mtume wa Al-Masihi Isa kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu.Kwa kundi la waumini wa Mungu walioko Korintho, pamoja na watakatifu wote walio nchi ya Akaya yote.2Neema na amani zinazotoka kwa Mungu, Baba yetu, na kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi ziwe nanyi.