1 Timotheo1
Salamu
1Paulo, mtume wa Al-Masihi Isa, kwa amri ya Mungu Mwokozi wetu, na ya Al-Masihi Isa aliye tumaini letu.2Kwa Timotheo, mwanangu halisi katika imani.Neema, rehema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba Mwenyezi na kwa Al-Masihi Isa, Bwana wetu.