Timotheo aibele2ndg_ulb
1kwa hiyo wenga wamwana wangu. ujiliwe ngupu katika neema yaibike ngati ya kristo yesu.2Na makowe gauga yuwine kwangu miyongoni mwa mshaidi. baingi wakabizi kwa bandu baaminifu ambayo bawesha kwa fundisha bingii kahi.3ushiliki taabu pamoja nanenga. kati asikali mwema wa kristo yesu.4Ndupu asikali ywa tumika wakati wowo kaii ya ngabana na sgughuli ya kawaida ya maisha aga.5Ili apulaiki tajili wake kuluu. kahi kati mundu ywa shindana kati mwa kwi kinginama kanuni.6ni muimu ywembee mkulima mwne bidii abe wa kwanza kuipokia mgaoo wa mazao gakee.7ulifikilie ususha nibaya, kwa maana yesu aisha kuga tanga mambogote.8ukumbuki yesu kristo buka usao wa daudi nywembe atifufuka buka kwa baandu babawile. ili uaingane na ujumbe wangu wa injili.9ambayo kwa sababu yayooo mbaya mateso natabilwa manyololo kati na mwii. lakini neno lanungu lita bilwali na minyololo.10kwa nyoo nati vumilia makowe gote kwaijili ya balu ambaye nungu ashawile. ili bembe babe kahi baupate uwokovu wa ubile katika kilisto yesu pamoja na fufuka wa milele.11baya kuno ni kwa aminika mwenetuwile pame na ywembe twishi na ywembe kah!12mwene tuvumilie. twatawala pamoja na ywembe kaii atukana twenga.13mwene tubilea twa aminifu. ywembe aigala baa mwaminifu mahana aweshaki kwii kana mwene.14vendele kwa kubkukia nani ya makowe aga. waoonge mbele ya nungu baleke bishana na usu makowe. kwasbabu ndupu manufa katika likowe lino. bukana nali kuna alibika kwa balu baba pikania.15upange bidi kuilaya panga uyikitilwe ywa bileli na sabbu ya kunaumu. ulitumi lineno la kweli kwa usahi.16wiepushe na jadili ga duniani gembe aongoza kwa zaidi nazaidi ga zambi.17majadiliano gabe ga landale kati lilonda ndugu. miongoni mwabe ni imenavyo na fileto.18aba bandu baba kesike ukweli. babaya ya panga fufuka tayali bapitike baba ipunduwa imani ya bahazi ya baandu19ata nyoo msingi imala wa nungu unayima wene uwandishi wuno. yesu atangite bababile bake. nakila ywa litambwa linala yesu ni lazima haleke mabaya.20munyumba ya tajili siyo kuna yomboli ibile yombo ya zabu na shaba bahi kuna yombo ya mikongo na utupihi. bazi ya yino ni kwajili ya matumizi ya ishima na baazi yake ni kwa matumizi gaga bileli ya ishima.21mwene abile mungu apakwi takasa mwene buka kwenye matumizi gagabile ya shima. ywembe ni shombo shaeshi mika ati tengenezwa malumu. ywa bile na manufa kwa yesu na ywa andaliwe kwa kazi mzuli.22uibutike tamaa ya ujana wako uwikingame haki imani upendo na amani pamoja na buluu baba kema yesu kwa woyo safi.23lakini ukane ulalo na maswali ya kipuuzi wenga utangite panga ibeleka bulwe24mtumishi wa yesu ibidileli yumana badala yake ywembe abempole kwa bandala boote. ywa wesha fundisha na ywa vumiliya.25nilazima abakiee kwa uploeee baluu baba pinga lakini nungu aweshe kwa pea msama kwa kuwi tanga kweli.26uweshe pata tanga kahi na kuikana mtego wa shetani. bada ya tangabati tekelwa shetani. bada ya tangabati tekelwa. na ywembe kwaajili ya mapenzi gakee.