1 Akoritho12ndg_ulb

1Kuhusu karama ya mu'roho, ainja ni alombo bango nipala kwaa mkose tanga.2Mutangite kuwa pamubile apagani mukengamine ni kuongozwa nayo.3Kwa nyoo, nipala muitange kuwa ntopo yeyote ywalongela kwa Roho wa Nnongo kabaya”Yesu atilaanilwa.” Ntopo yeyote ywabaya, “Yesu ni Ngwana,” ila katika Roho mpeletau.4Bai kwabile ni karama mbalembale, ila Roho ni ywembe yumo.5Ni kwabile ni huduma mbalembale, ila Ngwana ni ywembe yumo.6Ni kwabile ni aina mbalembale ya kazi, lakini Nnongo ni ywembe yumo ywapanga kazi zote katika boti.7Bai kila yumo upewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote.8Maana mundu yumo apeilwe ni Roho neno lya hekima, ni ywenge neno lya maarifa kwa Roho yoo yolo.9Kwa ywenge umpeya imani kwa Roho ywembe yolo, ni kwa ywenge karama ya ponya kwa Roho yumo.10Kwa ywenge matendo ga ngupu, ni ywenge unabii. Na kati ywenge uwezo wa yowa Roho, ywenge aina mbalembale ya lugha, ni kwa ywenge tafsiri ya lugha.11Lakini Roho ni yoo yolo ywapanga kazi zote, umpeya kila mundu karama kwa kadiri ya uchaguzi wake mwene.12Kwa mana kati yega ni umo, na ubile ni iungo yanyansima, ni iungo yoti ni ya yega woo wolo, nyonyonyo na Kristo.13Kwa mana katika roho yumo twenga twabote tutibatizwa kuwa yega umo, kwamba Ayahudi ni Ayunani kae, kuwa amanda kae au huru, ni bote tuinyweile Roho imo.14Kwa mana yega ni iungo kwaa chimo, ila ni yanyansima.15Mana itei magolo walowa baya, “kwa mana nenga na luboko kwaa, nenga na sehemu kwaa ya yega,” ipangika kwaa kubile kwaa ni sehemu ya yega.16Na mana itei likutu lilowa baya, “kwa kuwa nenga na liiyo kwaamnenga na seheme kwaa ya yega,” yee ailipangi kwaa kupangika kuwa sehemu ya yega.17Kati yega wote ubile liyo, likutu lyabile kwaako? Kati yega yoti yabile likutu, kwabile kwaako nungya?18Lakini Nnongo abekite kila iungo ya yega mahali pake kati yaapangite mwene.19Ni kati yoti ibile iungo imo, yega ibile kwako?20Nga nyo nambeambe iungo yanansima, lakini yega ni yimo.21Liyo laweza kwaa kuubakiya luboko, “Nibile kwaa na haja ni wenga.” Wala ntwe uweza kwaa kugabakiya magolo, nibile kwaa ni haja na mwenga.”22Lakini iungo ya yega yatibonekana kuwa ni heshima yahitajika muno.23Na iungo ya yega yatuwasile vyabile ni hekima njene, twaipea heshima muno, ni iungo yitu yabile kwaa na mvuto yabile ni uzuri muno.24Nambeambe iungo yitu yaibile ni mvuto yabile kwaa ni haja ya kupeyelwa heshima, kwa kuwa tayari ibile ni heshima. Lakini Nnongo aiunganisha iungo yote mpamo, ni kuipeya heshima zaidi yelo yaibile heshimilwa.25Apangite nyoo ili pabile kwaa ni mgawanyiko katika yega, ila iungo yoti itunzane kwa upendo wa yumo.26Ni muda iungo chimo mana kiumile, iungo yoti yalowa umia mpamo. Au wakati iungo chimo chaheshimilwa, iungo yoti yalowa puraika mpamo.27Nambeambe mwenga mwa yega wa Kristo, ni iungo kila chimo kichake.28Ni Nnongo abekite katika likanisa kwanza mitume, ibele manabii, tatu baalimu, boka po balo boti bapanga makowe makolo, boka po karama ya uponyaji, balo basaidiao, balo bapanga kazi ya kubaongoza, ni boti babile ni aina mbalembale ya lugha.29Je twenga twabote ni mitume? Twenga twabote twa manabii? twenga twabote ni baalimu? Je twenga twabote tupanga matendo ga miujiza?30Je twenga twabote tubile ni karama ya uponyaji? Twenga twabote tulongela kwa lugha? Twenga twabote twatafsiri lugha?31Muipale muno karama yaibile ngolo. Ni nenga nalowa kuabonekeya ndela yainoyite muno.